TIMU YA TAIFA YA POOL YAENDELEA NA MAZOEZI MKOANI MOROGORO
Kocha
wa Timu ya Taifa, Denis Lungu (kulia) akiwaelekeza jambo wachezaji wa
timu ya Taifa wa mchezo wa Pool (Safari National Pool team) wakati wa
mazoezi katika kambi inayoendelea mkoani Morogoro ya mchujo wa kupata
wachezaji 8 kati ya 15,watakaowakilisha Tanzania katika fainali za
Afrika ziazotarajiwa kufanyika nchini Malawi hivi karibuni.
Kocha,Denis akielekeza jamabo.
Mchezaji, Solomoni Eliasi kutoka mkoani Mbeya akifanya mazoezi.
Mchezaji, Mussa Mkwega kutoka mkoani Morogoro akifanya mazoezi.
Category: tanzania


0 comments