VIDEO: Mashambulizi 50 bora yaliowahi kufanikiwa kuokolewa golini na magolikipa

Unknown | 7:14 AM | 0 comments



Kuna baadhi ya matukio au mashambulizi katika soka wakati yanatokea kwa asilimia 75 unaweza kutabiri mpira utaingia nyavuni na kuwa goli kuliko uwezekano wa golikipa kuokoa, moja kati ya mipira ambayo hutajwa kuwa asilimia 75 goli ni mkwaju wa penati. Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea mashambulizi 50 bora yaliowahi kuokolewa na magolikipa.


Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments