HII HAPA RATIBA KAMILI YA MECHI 26 KALI ZAIDI DUNIANI WIKIENDI HII ...

Unknown | 8:12 AM | 0 comments

Najua mtu wangu wa nguvu ungependa kufahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali ambazo zitachezwa siku ya Jumamosi ya February 6 na Jumapili ya February 7. Naomba nikusogezee karibu yako ratiba ya mechi za Ligi KuuTanzania bara, Uingereza naHispania, hii ni ratiba ya mechi za Ligi hizo zitakazochezwa  Jumamosi na Jumapili.
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara weekend hiyo
hv
Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza
2
Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki February 6
  • Man City Vs Leicester Saa 15:45
  • Aston Villa Vs Norwich Saa 18:00
  • Liverpool Vs Sunderland Saa 18:00
  • Newcastle Vs West Brom Saa 18:00
  • Stoke Vs Everton Saa 18:00
  • Swansea Vs Crystal Palace Saa 18:00
  • Tottenham Vs Watford Saa 18:00
  • Southampton Vs West Ham Saa 20:30
February 7
  • Bournemouth Vs Arsenal Saa 16:30
  • Chelsea Vs Man Utd Saa 19:00
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania 
1
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki February 6
  • Atl Madrid Vs Eibar  Saa 18:00
  • Rayo Vallecano Vs Las Palmas Saa 20:15
  • Ath Bilbao Vs Villarreal Saa 22:30 
  • Sporting de Gijón Vs Deportivo de La Coruña Saa 00:05
Jumapili ya February 7
  • Levante Vs Barcelona Saa 14:00
  • Real Betis Vs Valencia Saa 18:00
  • Celta de Vigo Vs Sevilla Saa 20:15
  • Granada CF Vs Real Madrid Saa 22:30

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments