Hii ndio Top 6 ya mastaa wa soka wenye hasira zaidi uwanjani

Unknown | 11:28 PM | 0 comments


Moja kati ya michezo inayoongoza kwa kuchukua headlines duniani ni mchezo wa soka ambao nchi nyingi ndio mchezo wanaoupa kipaumbele kuliko michezo mingine, huu ni mchezo ambao una headlines ya rekodi kibao ila leo November 28 naomba nikusogezee Top 6 ya wachezaji wa soka wanaotajwa kuwa na hasira zaidi.
6- Diego Costa ni mkali wa soka anayekipiga katika klabu ya Chelsea ya Uingereza ila ni moja kati ya wachezaji wenye hasira zaidi uwanjani hususani pale inapotokea kachezewa faulo kwa bahati mbaya na mchezaji wa timu pinzani basi huwa hayaishi kirahisi uwanjani.
021315-soccer-Diego-Costa-pi-mp.vresize.1200.675.high.9
Diego Costa akioneshwa kadi ya njano
5- Zlatan Ibrahimoic ni staa wa soka kutokea Sweden lakini anakipiga katika klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa ana headlines kadhaa ila ya ukorofi na kubishana na refa hiyo pia ni moja kati ya sifa zake, huwa anatajwa kupaniki pale anapochezewa faulo.
hi-res-1ecdfcbfed585e258501404743dc3468_crop_north
Zlatan Ibrahimovic
4- Gennaro Gattuso alikuwa anakipiga katika klabu ya AC Milan na baadae Sion ila ana headlines kadhaa za kuoneshwa kadi kutokana na utamaduni wake wa kujibizana na marefa pale ambapo anapokuwa anapingana na maamuzi yao uwanjani haoni hasari kumfokea refa au mchezaji wa timu pinzani pale tu anapokuwa hajaridhdishwa na tukio fulani.
gennaro_gattuso_1827381b
Gennaro Gattuso akimkaba kocha msaidizi wa Spurs hii ilikuwa ni mechi kati ya Spurs dhidi ya AC Milan ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
3- Roy Keane huyu ni kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United ya Uingereza ambaye amewahi kutamba sana kwa umahiri wake katika nafasi ya kiungo, ukitaja wachezaji wenye hasira katika soka hakika huyu huwezi kumkosa, kwa sasa amestaafu soka.
GD1435272
Roy Keane akizozana na muamuzi
2- Oliver Khan ni golikipa wa Ujerumani amecheza timu ya taifa na amewahi kuitumikia klabu ya FC Bayern Munich lakini ni moja kati ya magolikipa bora waliowahi kuitumikia Bayern na Ujerumani. yupo nafasi ya pili katika list ya wachezaji wenye hasira uwanjani.
Bildnummer: 00115128  Datum: 03.04.1999  Copyright: imago/Team 2 Torwart Oliver Kahn (Bayern) verliert die Beherrschung und gefährdet vorsätzlich mit gestrecktem Bein die Gesundheit von Stephane Chapuisat (BVB, li.); Keeper, Torhüter , Ball, Duell, Zweikampf, Härte, Foul, Foulspiel, Unsportlichkeit, brutal, unbeherrscht, Unbeherrschtheit, übermotiviert, Rücksichtslosigkeit, Verletzungsgefahr, gestrecktes Bein, Ausrasten, Aussetzer, Karatetritt, Karateeinlage, Tritt Saison 1998/1999, BVB Borussia Dortmund - FC Bayern München 2:2, Brutalität, Dortmund, rücksichtslos Ausraster, ausrasten, Aufmacher Kampf, Wut,  Spannung, Fußball 1. BL Herren Mannschaft Deutschland Gruppenbild Aktion Werbemotiv Personen Kurios Image number 00115128 date 03 04 1999 Copyright imago team 2 Goalkeeper Oliver Kahn Bavaria loses The Dominance and threatened intentionally with stretched Leg The Health from Stephane Chapuisat Borussia left Keeper Goalkeeper Ball Duel duel Hardness Foul Foul play Unsporting brutal unrestrained Unbeherrschtheit übermotiviert Ruthlessness Injury extended Leg Ausrasten Dropouts If karate Karate deposit Tritt Season 1998 1999 Borussia Borussia Dortmund FC Bavaria Munich 2 2 Brutality Dortmund Rücksichtslos Ausraster Ausrasten Highlight Fight Anger Tension Football 1 BL men Team Germany Group photo Action shot Highlight Human Beings funny
Oliver Khan
1- Pepe ni beki wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania, ukorofi na matukio yake anayofanya uwanjani yamefanya kuwa anaoneshwa kadi nyekundu mara kwa mara uwanjani, sio aina ya mchezaji ambaye atavumilia jambo lisilomfurahisha lipite lakini ni mchezaji anayependa kufanya faulo za makusudi uwanjani.
resize_gallery
Pepe akioneshwa kadi nyekundu kwa makosa yake ya uwanjani.
ScreenShot2012-01-18at2.32.25PM_crop_exact
Hili ni moja kati ya matukio ya Pepe uwanjani, alimkanyaga Lionel Messi katika mchezo wa El Clasico.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments