LIONEL MESSI AMEANDIKA REKODI MPYA KWENYE MAISHA YAKE YA SOKA

Unknown | 10:21 AM | 0 comments


Lionel Andrés Messi Cuccittini mwenye miaka 27 lakini mafanikio yake kwenye soka yana wafurahisha na kuwashangaza wengi ameandika rekodi mpya kwenye maisha yake ya soka.
Ukaiangalia kwenye mtandao wa wikipedia ume-update biography ya Messi kwamba amefikisha magoli 400 akiwa na Club ya Barcelona. Messi amefikisha goli la 400 kwenye mechi kati ya Barcelona na Valencia ambapo alifunga goli la pili dakika ya 90.
Jumla magoli ya Lionel Messi akiwa kwenye club ni 411, magoli 11 aliyafunga akiwa kwenye Barcelona C na Barcelona B. Upande wa mechi za kimataifa akiwa na Argentina amefunga magoli 45.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments