SPAIN YAKUBALI KICHAPO CHA GOLI 5 KWA 1 DHIDI YA UHOLANZI

Unknown | 8:31 AM | 0 comments


Robin Van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia.
Robin van Persie alifunga bao zuri la kichwa cha umbali wa mita 30 kusawazisha kwa Uholanzi dakika ya 41 ya kipindi cha kwanza.
Haamini macho yake: Casillas huku wachezaji wa Uholanzi wakishangilia bao la Van Persie.

Share story hii kupitia>>>>>> :
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Category:

0 comments