CHILE YAILAZA AUSTRALIA 3-1
Chile wakishangilia bao lao la pili lililofungwa na Jorge Valdivia dakika ya 14 ya kipindi cha kwanza.
Alexis Sanchez (kulia) ambaye pia anaichezea Barcelona, akishangilia bao la kwanza aliloifungia Chile dhidi ya Australia.

Hapiti mtu: Ivan Franjic (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Chile, Eduardo Vargas.
CHILE wameibuka na pointi tatu muhimu katika Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kuilaza Australia bao 3-1. Mabao ya Chile yaliwekwa kimiani na Sanchez, 12, Valdivia, 14, Beausejour, 90, huku la Australia likifungwa na Cahill, 35 kwenye mchezo huo uliopigwa usku wa kuamkia leo.
VIKOSI:
Chile: Bravo, Isla, Medel, Jara, Mena, Aranguiz, Diaz, Vidal, Alexis, Valdivia, Vargas.
Chile: Bravo, Isla, Medel, Jara, Mena, Aranguiz, Diaz, Vidal, Alexis, Valdivia, Vargas.
Benchi: Toselli, Albornoz, Silva,Carmona, Pinilla, Rojas, Orellana, Beausejour, Gutierrez,
Fuenzalida, Paredes, Herrera.
Fuenzalida, Paredes, Herrera.
Mabao: Sanchez, 12, Valdivia, 14, Beausejour, 90.
Australia: Ryan, Franjic, Wilkinson, Spiranovic, Davidson, Leckie, Jedinak, Milligan, Oar, Bresciano, Cahill.
Benchi: Langerak, Wright, Taggart, Halloran, Bozanic, Troisi, Holland, McKay, McGowan, Vidosic, Luongo, Galekovic.
Mabao: Cahill, 35.
Mwamuzi: Noumandiez Doue (Ivory Coast)
Category: uingereza
0 comments